Habari zenuLeo niko na nyie dada zangu ninaowaheshimu na kuwapa heshima mnayostahili!!Ninakereka sana na vijivazi vyenu mnavyovivaa siku hizi kwa kuwa haviendani kabisa na utamaduni wetu wa kitanzania...
Huu ni mkasa wa mwanachuo wa kike aliyekutana na tapeli aliyejifanya yeyey ni mzungu yuko marekani.Baada ya kuzungumza kwa sms wakati wanachati ndipo mzungu huyo alipomuuliza mwanachuo huyo kama...
Katika
hali ya kushangaza msichana mmoja anaejiita Seche Mautamu ambae anajiuza kupita
mtandao wa kijamii wa facebook kwa kuweka picha zake za utupu. Zifuatazo ni
picha zake hizo na baada ya...
MISS Kiswahili 2008 Bongo, Rehema Fabian amenagwa vibaya na wadau baada kutupia picha za utupu katika mtandao wa Instagram.
Rehema Fabian katika pozi.
Wakizungumza na paparazi wetu mara baada ya kuziona...
Mimi ni Msichana wa Miaka 23 , muda mwingi nipo online kwenye Facebook ...sasa huko nimekuwa nikikutana na wavulana wazuri na huwa tunachat mambo ya mapenzi kama wapenzi .Mapenzi huwa matamu sana pale...
BABY ni neno la Kiingereza lenye maana ya mtoto, tena mara nyingi linatumika kwa mtoto mdogo. Pia lina maana nyingine ya mpenzi. Ni neno maarufu sana siku hizi; hata wazee kabisa, utasikia wanaitana...
Mwili wa mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Ipembe mjini Singida Rashid Said (16) (kushoto) na wa kijana ambaye hajafahamika jina aliyekuwa anajaribu kumwokoa mwanafunzi.Vijana...
Sababu za kupotea kwake;
Ukiongelea jina kama Z-anton kwa wengi watakuwa wanamjua msanii huyu maarufu kwa wimbo wake uitwao binti kiziwi,unaweza kusema kuwa ni moja ya waasisi wa muziki huu...
MIONZI ya simu za mkononi inaweza kuathiri maendeleo ya ubongo wa watoto walioko tumboni mwa mama zao, utafiti umeeleza.Utafiti huo umetaja madhara mengine ya mionzi ya simu za mkononi kuwa ni uharibifu...
ANGEL Zambi ambaye ni mke wa mtu, mkazi wa Kitongoji cha Ipogolo mjini Iringa amenaswa akiiba vitenge na kanga kwenye duka moja, Risasi Mchanganyiko linakupa ‘ei tu zedi’.Tukio hilo la aibu lilijiri...
UKISIKIA simulizi ya Hafsa Ramadhani (19) itakutia simanzi, itakutesa moyo na kukutoa machozi, huwezi kuamini aliingia kwenye ndoa bila kujua kuwa alikuwa akienda kukutana na ugonjwa wa ukimwi, Risasi...
Mwanadada Naaziz wa Kenya ambaye ni msanii wa siku nyingi na alikua mmoja kati ya waanzilishi wa muunganiko wa wasaniii wa Africa mashariki (East African Bashment Crew) pamoja na crew ya wasanii watatu...
WAKATI akiwa katika maandalizi ya harusi yake mwanamitindo ambaye pia ni mchumba wa msanii wa Hip Hop nchini Marekani Kim Kardashian jana alipata ajali ya gari ambayo haikuwa na madhara makubwa...
MWALIMU Mkuu wa Shule ya Msingi Rutamba, Wilaya ya Lindi amekutwa akiwa na nguo za ndani pekee katika usingizi mzito kwenye kibao cha shule hiyo huku akiwa hajitambui kwa madai...
IMEBAINIKA kuwa ndani ya tasnia ya filamu Bongo kuna baadhi ya wasanii wanaofanya mapenzi ya jinsia moja yaani mashoga, Risasi Mchanganyiko limenyetishwa.
Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven...
MJAMZITO wa miezi saba Bi. Mwanaidi Athumani mkazi wa Chamwino Morogoro hivi karibuni alifanya mchepuko wa kutoka nje ya ndoa na kujikuta akijifungua mtoto wa kiume ndani ya gesti iliyopo maeneo ya...
Ndege ya Malaysia iliyotoweka
Mkuu wa jeshi la anga la Malaysia, amekanusha madai kuwa ndege ya Malaysia iliyotoweka, ilionekana mara ya mwisho Magharibi ya rasi ya nchi hiyo, eneo ambalo ni mbali...
MASKINI! Kilio kikubwa cha Wema Isaac Sepetu ni kupata mtoto, Risasi Mchanganyiko linafunguka.
Habari zilieleza kuwa Wema amekuwa na kiu ya mtoto kwa muda mrefu na kwamba alishakuwa na wanaume tofauti...
Ashura Rashid ‘Saladini’.
NYUMBA ya msanii wa filamu za Kibongo aliyewahi kutamba na muvi kali ya Saladini, Ashura Rashid ‘Saladini’ imeteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa, huku msanii huyo...
Meneja wa Club ya V.I.P mjini Iringa Mick akiwa amezima baada ya kunya viroba na kisichana kwa kuonyesha uwezo wake na baada ya dakika 20 akazima kama hivi ,hapa nalazimika ...