Breaking News

MISS UTALII ALIYEPIGA PICHA CHAFU NA MANAIKI , APEWA KIPIGO KIKALI NA MPENZI WAKE...!!! HALI YAKE NI MBAYA ALAZWA HOSPITAL! ,TAZAMA PICHA HAPA..


Zile picha za aibu zilizoongoza vichwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini pamoja na nje ya nchi hasa nchini Kenya zilizokuwa zikimuonesha mwanamuziki na msanii wa bongo muvi Manaiki Sanga akiwa na mabint mbalimbali wakiwa kwenye picha utupu sasa tukio hilo limechukuwa sura mpya baada mrembo aliyekuwa mshiriki Miss Utalii 2013 Fathiya Alfani kupigwa nusu ya kupoteza uhai wake na mchumbaake kwa madai ya kumdhalilisha.

Habari za uhakika toka kwa rafiki wa karibu na mrembo huyo ambae amevujisha picha hizi za kupigwa kwa Fathiya aliieleza  mtandao huu “ Jamani tumuone huruma Mrembo wa Facebook kwani hali yake sio mbaya amepigwa sana kiasi cha kutolewa nafsi na mchumbaake anaeishi nae huko Buza”K 


Fathiya Alfan "Mrembo wa Facebook" akiwa hoi baada ya kipigo cha mbwa mwizi alichokipata toka kwa mumewe

Mrembo wa Facebook Miss Utalii

Duh nakozi zinauma kumbe? Sitaki tena umaarufu kudadeki!

 Baadhi ya picha zilizomtokea puani Mrembo wa Facebook akiwa na mwanamuziki/msanii Manaiki Sanga walizopiga visiwani Zanzibar msimu wa sikuu ya Idd 

CHECK PICHA HIZO HAPO CHINI....






Designed By Blogger Templates