Thursday, April 24, 2025

Breaking News
>> DADA ZETU SIKU HIZI MNABOA SANA KWA HAYA MAVAZI YENU..!!  >> VIDEO : MWANACHUO AFUMWA AKICHEZA NUSU UCHI KWENYE MTANDAO WA SKYPE BAADA KUDANGANYWA NA MZUNGU ALIYEKUWA ANACHAT NAE...  >> MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU NCHINI AJIUZA KWA KUWEKA PICHA ZA UCHI KWENYE PROFILE YAKE YA FACEBOOK   >> BAADA YA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUSAMBAA, WATU WAMPA MAKAVU LIVE MISS TZ REHEMA FABIAN...  >> NAPENDA WAPENZI WA MTANDAONI ,ILA TUKISHA ''DO'' SIWAPENDI TENA...  >> Unajua athari za kuitana sweet, dear, baby katika mapenzi...?? SOMA HAPA NKUJUZE.    

BREAKING NEWS: MTANGAZAJI WA CHANNEL TEN SALUM MKAMBALA APATA AJALI MBAYA YA GARI..

Mtangazaji wa Channel Ten, Salum Mkambala (pichani) amepata ajali ya gari ambalo alikuwa akiendesha kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi wa Channel Ten ambaye ameidokeza Global Publishers.info, Mkambala alipata ajali hiyo maeneo ya Chalinze alfajiri ya leo na hali yake inaelezwa kuwa ni mahututi baada ya kuumia vibaya. Haijafahamika yuko hospitali gani kwani alikuwa peke yake kwenye gari na taarifa ilitolewa na msamaria mwema kwa simu ya Salum na baada ya hapo simu yake haipatikana tena. Global inaendelea kufuatilia kwa taarifa zaidi.
Picha na Maktaba.
Designed By Seo Blogger Templates