Breaking News

HAJAWAHI KUNIFIKISHA TOKA NIANZE KUWA NAE. NIFANYAJE NA MIMI NAMPENDA SITAKI KUMSALITI..





Ni Mwaka wa tatu sasa toka nimeanza uhusiano na mchumba angu, lakini mara zote nilizowahi kulala nae sijawahi kufika kileleni, huwa akimaliza tu yeye husema amechoka, na wakati mwingine hata akijitahidi mimi huwa sifiki ninapo pataka, huwa inanikosesha raha pia nikifikiria kuwa nampenda sana, nimeshawahi kumwambia hii hali mara kadhaa lakini bado sijapata utatuzi. Naombeni Ushauri wenu wadau....
Designed By Blogger Templates