Breaking News

KALI YA MWAKA...!! AVUA NGUO ZOTE NA KUBAKI UCHI KUONESHA JINSI MWILI WAKE ULIVYONONA KWA KUNYWA DAMU NA MAZIWA...


Kwa mujibu wa Dialy Mail  katika kabila linaloishi pembezoni mwa Ethiopia, Omo Valley ndipo alipoonekana mwanaume anayefahamika kwa jina la Gorge anayekunywa damu na maziwa ya ng'ombe ili kupata taji la kuwa mwanaume mnene! 

Kwa wa-Ethiopia ukubwa wa mwili au mwanaume mnene ndio swaga..Na mshindi yaani mwanaume mnene huwa anachukuliwa ni bingwa kwa maisha yake yote!

Designed By Blogger Templates