Breaking News

INASIKITISHA SANA...!! AJALI YAUA WATU SITA MKOANI TANGA NA KUJERUWI 12...


Watu sita wamefariki papo hapo na zaidi ya 12 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Toyota Hiace kuligonga kwa nyuma lori la mizigo lililokuwa limeharibika barabarani bila kuonyesha ishara yoyote eneo la Kange jirani na mizani mkoani Tanga...

Baadhi ya majeruhi katika ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa Tanga kwa matibabu.
Designed By Blogger Templates