Njemba ikimtomasa na kufanya nae mapenzi akiwa uchi wa mnyama mbele ya kadamnasi
Kutokana na kuendelea kwa Vugugu la Usambazaji wa picha za utupu kwa wakinadada wengi wakidai wana dhalilishwa na penzi wao kuendelea kushika kasi...
Habarizetuleo blog inaendele kukujuza kinachoendelea hasa hapa nchini ....Kupitia mdau wetu tume nasa video inayonyesha kinachoendelea kwenye kumbi za starehe nyingi hasa za taarabu.Wanawake wengi hutumia maungo yao kutafutia kipato kwa kucheza uchi mbele ya kadamnasi na kurusu kushikwashikwa nyeti zao na wakidai wako kazini...
Nchi kama ya Tanzania kwa miaka ya nyuma imekua ni nadra sna vitendo kama vya kucheza nusu utupu kuenekana ila kwa sasa serikali imeonekana kushindwa kutatua tatizo hili hata wao wakijua kunamakundi (yanafahamika ila hatuyataji) kazi yao ni kucheza nusu utupu na mengine ni utupu kabisa mbele a kadamnasi ya watu na kushindwa kuchukuliwa hatua au hata kuonywa kwa wanayoyafanya ...
Habarizetuleo blog inalaani vikali tabia hii kwa kuwa inapoendelea itaharibu taifa la leo na la kesho la vijana na kuchelewa sana kupata maendeleo kwa kukaribisha tamaduni hasi ambazo hazitusaidii kwa lolote zaidi ni kujipotezea heshima..
-vituko vya mtaa