KWELI POMBE NOMA...!!! CHECK WADADA HAWA WALICHOKIFANYA BAADA YA KULEWA POMBE....
Wasichana hawa wamejikuta katika aibu ya mwaka baada ya kulewa na pombe na kufanya vitu vya ajabu hadharani.
Watu waliokuwa karibu hawakuweza kuamini machi yao baada ya kuona wadada hao wakichezeana makalio
Ni Aibu iliyoje, kweli POmbe sio chai