Mwanafunzi huyo wa kike(jina limehifadhiwa) anaesoma kwenye college moja nchini Uganda,inasemekana kuwa yuko Mwaka wa pili,anachukua Masomo ya Biashara.Baada ya kufeli masomo matatu muhimu katika kozi yake, Akamfuata Mhadhiri(lecturer) anayehusika na hayo masomo,akamuomba amsaidie angalau ampe C tatu kwenye masomo.
Huyo Lecturer nae kwa Tamaa zake nae akaomba Rushwa ya Ngono,lakini kabla huyo Mwanafunzi hajampa rushwa ya Ngono huyo Lecturer,akaamua kumtamanisha kwa kumtumia hizi Picha za Uchi.
Huu mchezo upo mpaka huku kwetu na huwa wanafunzi wengi wa kike wanafanya kwa ajili ya kupata Degree za bure.