Breaking News

LINAH AZUA GUMZO MTANDAONI BAADA YA KUTUPIA PICHA AKIWA AMELALIWA NA MSICHANA MWENZAKE MGONGONI..

Msanii wa bongo fleva maarufu anayetamba kwa ngoma kibao za mapenzi ametupia picha akiwa amelaliwa na msichana mwenzie kwa juu (mgongoni)...
Picha hiyo ilileta taswira tofauti miongoni mwa watu na kujiuliza maswali mengi kwamba vipi LINAH naye ameshajiingiza kwenye mchezo mchafu wa kusagana...??
Designed By Blogger Templates