
Akipiga Story na DjHaaazu ndani ya MJ FM Arusha kupitia kipindi cha DUNDO PNC amesema ameamuia kujitoa chini ya Mtanashati kwa kile ambacho amekisema kuwa amegundua wazi kuwa ni kweli ile picha iliyosambazwa kwenye mitandao ikimuonyesha akimpigia Magoti Ostaz ni kweli ilipigwa na mdogo wa Ostazi Juma aitwaye Faraji ila mtu wa kwanza kuipost kwenye mitandao ni Ostaadhi Juma mwenyewe akitaka kumuharibia PNC.
PNC amefunguka kuwa hata mashabiki wake hawapo tayari kumuona akiendelea kufanya kazi na Mtanashati hivyo ameamua kufanya kazi kivyake.
Kufuatia interview hiyoilibidi DjHaazu kuutafuta upande wa pili ambapo aliamua kumvutia wire Ostaz Juma na

Ilikuwa Suprise kwa Ostaz juma kuambiwa na Haazu kuwa PNC amejitoa Mtanashati na ndipo Ostaz alipoanza kumchafulia jina PNC redioni kuwa PNC anavuta bangi na kula ugoro na kusisitiza kuwa anayoyaongea ni kweli. Cha kushangaza zaidi ni pale aliposema kuwa PNC hawezi kusurvive bila yeye kwani anamlisha na kumvisha PNC na Mkewe hivyo bila yeye hawawezi.
MSIKILIZE HAPA CHINI OSTAZ JUMA AKIMPONDA PNC NA KUHUSU JAMAA KULA BANGI NA UGORO
kusikiliza click lini hii hapa http://old.hulkshare.com/ p3tprnsih6o0