Breaking News

BREAKING NEWS; NYUMBA SITA ZACHOMWA MOTO MBWEWE CHALINZE



Breaking News: Nyumba 6 zimechomwa moto katika Kijiji cha VODA ,Tarafa ya Mbwewe Mkoani Pwani,baada ya wanakijiji kuvamia gari la mizigo lililokuwa limebeba mitumba kuanguka na kufunga barabara lililoanguka na kufunga barabara  ambapo wakazi hao 
walianza kupora hali iliyosababisha wenye mizigo kuingia kijijini kuwasaka waliopora mizigo hiyo.
Kamanda wa usalama barabarani  Chalinze Afande Sule amesema sehemu ya barabara hiyo ya Chalinze-Segera imefungwa na kusababisha abiria kutoka Dar Es Salaam kwenda tanga,Kilimanjaro na Arusha kukwama.

 SRC>>ITV
Designed By Blogger Templates