Breaking News

JE UNAFAHAMU NISHER [MKALI WA VIDEO TOKA ARUSHA]: NI MTOTO WA NABII MAARUFU GEO DAVIE...?? ...MFAHAMU ZAIDI HAPA


Jina Nisher sio jina geni tena katika fani ya utayarishaji wa muziki. Jamaa namfahamu kiundani sana toka ni kijana mdogo hadi sasa.
 

Nisher ni maisha bora hom ukiachilia fani ya aliyonayo na kila mtoto kwao alikua anagari kipindi anamiaka kama kumi na saba hivi
 

Babake nisher ni nabii maarufu sana Geo Davie ambae anafanyia shughuli zake za maombi sehemu moja inaitwa Kisongo jijini Arusha
 

Nisher kenye game kitambo kwani kuna ngoma ya CP inaitwa problem ni mkono wa nisher na video nying kali kama Dole ya Mabeste, Baby ya Mirror, Ngoma mpya ya young dee, ngoma ya ben paul Jikubali ambayo siku wanashoot nilikuwepo sehemu moja inaitwa Waya mbele ya Kisongo
 

Huyo ndo Nisher bana kwa ufupi
 


 
Nisher na mshua wake Geo Davie
- Imeandaliwa na CHALII YA R

Designed By Blogger Templates