Breaking News

JAMANI UFIRAUNI HUU HADI LINI...?? BEIBY MADAHA AMLA DENDA MKE WA MTU MBELE YA MUMEWE...!! CHEKI HAPA..


Maskini Mke wa mtu alilazimishwa kuliwa mate mbele ya mumewe! 

Mwanamuziki na msanii wa bongo movie Beiby Madaha hivi karibuni alinaswa na PAPARAZI akilazimisha kumla denda mke wa mtu huku mumewe aishuhudia.


Tukio hilo lilitokea hivi karibuni kwenye Bar ya Uhuru Peack iliyopo maeneo ya Vijana ambapo Beiby Madaha ambae alikuwa tungi kipita kiasi alianza kumlazimisha dada huyo kumla mate baada ya kumsifia kwa kazi nzuri anazozifanya msanii huyo.


Hata kuna taarifa ambazo PAPARAZI bado inachokonoa ili ipate ukweli halisi kisha kama desturi itaanika uchafu huo ili watu waone ufirauni unaofanywa na wasanii wetu ambao sasa hivi wametoa kabisa msemo wa kuwa kioo cha jamii ambayo inasema kuwa msanii na mtunzi wa filamu ya TATAKOA Mariam Mndeme hivi karibuni alipigwa picha akisagana na mke wa mtu ambae ni bosi wa bank moja maarufu Jijini.
Designed By Blogger Templates