Breaking News

NINI KINAWAFANYA WANAUME KUGEUKA PINDI WANAPOPISHANA NA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA...??

Natumaini mu wazima wa afya njema.
hili ni swali linalonitatiza kila siku ni sababu zipi zinazopelekea mwanaume kugeuka na kumwangalia tena mwanamke mara tu wanapopishana hasa kwa wale wenye makalio makubwa...??
je ni sababu zipi zinazopelekea kutokea na 
kuendelea kwa hali hiyo?
Designed By Blogger Templates