Sunday, April 13, 2025

Breaking News
>> DADA ZETU SIKU HIZI MNABOA SANA KWA HAYA MAVAZI YENU..!!  >> VIDEO : MWANACHUO AFUMWA AKICHEZA NUSU UCHI KWENYE MTANDAO WA SKYPE BAADA KUDANGANYWA NA MZUNGU ALIYEKUWA ANACHAT NAE...  >> MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU NCHINI AJIUZA KWA KUWEKA PICHA ZA UCHI KWENYE PROFILE YAKE YA FACEBOOK   >> BAADA YA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUSAMBAA, WATU WAMPA MAKAVU LIVE MISS TZ REHEMA FABIAN...  >> NAPENDA WAPENZI WA MTANDAONI ,ILA TUKISHA ''DO'' SIWAPENDI TENA...  >> Unajua athari za kuitana sweet, dear, baby katika mapenzi...?? SOMA HAPA NKUJUZE.    

AJALI ZA BODABODA ZITAISHA LINI...?? CHEKI PICHA ZA AJALI ILIYOTOKEA LEO JIJINI DAR.. INASIKITISHA...!!

Abiria hoi baada ya ajali.
Wasamaria wema wakijaribu kutoa msaada.
Dereva wa bodaboda akishika sehemu ya mguu wake iliyovunjika.
Wakisubiri msaada.
Bodaboda yao.
Wasamaria wema wakitafakari jinsi ya kuwakimbiza kupata matibabu.

Gari iliyowagonga.
 Dereva wa bodaboda amevunjika mguu na abiria wake kupoteza fahamu baada ya kugongwa na gari ndogo aina ya  Toyota Carina yenye namba za usajili T236ATJ . Ajali imetokea Barabara ya Morogoro eneo la Kimara Stop Over jijini Dar wakati bodaboda hiyo ilipokuwa ikitokea Mbezi kuelekea mjini kugongwa na gari hiyo ilitokea upande huo kukunja kona upande kushoto wa ghafla na kuwazoa majeruhi hao
.


Designed By Seo Blogger Templates